Je Unabisha??

Hii inanikumbusha yale maswali niliyokuwa nayachukia sana kwenye historia:
"After the second world war, US emerged as a leading global superpower so did the soviet union. Discuss"!!

mkuu pls changia hii mada pls tunaitaji hekima zako this time
 
mh unajua kwann shetani alimdanganya mwanamke? unajua kwann akumdanganya adamu? akili na hekima ni sawa bible aikusema ni clever ilisema ni wadhaifu tena imesema ni viumbe vidhaifu. je unapingana na hili?
na kwa nini adam alidanganywa na mwanamke? ndo maana mnaambiwa muishi na wanawake kwa hekima coz we can do anything, even the imposibilities. We can love, hate, kill, heal,save etc.
 
na kwa nini adam alidanganywa na mwanamke? ndo maana mnaambiwa muishi na wanawake kwa hekima coz we can do anything, even the imposibilities. We can love, hate, kill, heal,save etc.

uzoefu unaonyesha kuwa mwanume huwa anamsikiliza mwanamke ili amtumie tu, no more!!!!!! ujanja hapo uko wapi??????? hata adam alimsikiliza eva ili aenjoy relationship
 
Biblia imehauri wanaume wakae na wake zao kwa hekima, kwa kuwa usipokuwa na hekima mwanamke humuwezi, They far more cleverer than men, no wonder Adam alilishwa tunda alillokatazwa, so kazi kwenu kuamua.

Adam alidanganywa na Hawa, wakafukuzwa kwenye bustani ya Eden.
Samsoni alirubuniwa na Delila,
Lutu alidanganywa na mkewe wageuke nyuma, Lutu akagoma,
Ayubu alipopata mateso makali mke wake alimwambia AMKUFURU Mungu, Ayubu akagoma na akarudishiwa utajiri mara elfu moja.
Mkapa alishauriwa na mkewe kufanya biashara ikulu,
Mwinyi alipewa ushauri na mkewe waiuze Loliondo Gate...
 
mmmmmmmmmmmmmmh uncle,uncle,uncle!!!!!!!!!!!
 
Mi wala sitaki presha jamani,,.
 
Buji
Naona wanawake ni waongo tu ndio sifa kubwa toka enzi na enzi, kama ulivyotuonyesha hapo , lakini hakuna kingine, ni dhaifu sana!
 
Sasa kwa nini wanamegwa halafu wanaachwa...???
Umemega na ukaniacha sioni kwamba niujanja zaidi ya udhaifu wako, maana umekimbia majukumu ya kumhandle huyo mwanamke. Hata hivyo ukimega inasafishwa na mwingine anaendelea vilevile kama vile hujamega...huo sii ndo ujanja kwa wanawake.
 
Vipi nikikumega halafu nisiku feel....huo nao ni udhaifu?
 
Sibishi nduguπŸ™„

Mama Tatu njanja kelikweliπŸ˜€

Any WoW! Janja yote hiyo wanafanya nasi eti!πŸ˜› na utundu utunduπŸ˜€πŸ˜€
 
Wanaume walichofanikiwa ni kuweka mfumo wa kuwadhibiti wanawake baada ya kugundua kuwa wanawake ni wajanja, werevu, watundu na wana mbinu nyingi kuliko sisi wanaume
 
Nikweli kabisa wanawake ni wajanja sana,mfano mzuri kwa walio ndani ya ndoa wajuulize maswali kwani huwa una (mdunda) kumchapa makofi? ni kwa sababu ukibishana naye hutamshinda kwa maneno na hoja hivo unaishia kutumia nguvu,
 
na kwa nini adam alidanganywa na mwanamke? ndo maana mnaambiwa muishi na wanawake kwa hekima coz we can do anything, even the imposibilities. We can love, hate, kill, heal,save etc.
Delila na Samson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…