GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Tafadhali mnaotoka Mikoa iliyozoea Uchafu na haina Ustaarabu wa Usafi na Mazingira muwapo hapa Moshi katika Sikukuu hizi za mwisho wa mwaka zingatieni Usafi mlioukuta na kwa wale watakaokaodi na Kuchafua Jiji letu wanaweza Kujikuta January 2022 wanaianzia wakiwa Jela" amesema Meya wa Manispaa ya Mji wa Moshi.
Chanzo: Morning Magic na Magic FM
Unadhani huu Ujumbe wa huyu Meya hapa Kawalenga 'Wageni Wasafiri' wa kutoka Mkoa gani ( upi ) Tanzania nzima ambao pamoja na Kujifanya ni 'Wajanja' ila ndiyo Wabobezi wa Uchafu na Uchafu nao pia umetokea Kuwapenda?
Hata hivyo kwa kuanzia tu GENTAMYCINE nahisi huyu Meya wa Manispaa ya Moshi hapa atakuwa Kawalenga mno wanaotokea Mikoa ya Kagera kwa Wahaya, Singida kwa Wanyaturu na Wanyiramba, Kigoma kwa Waha, Dodoma kwa Warangi, Mwanza Ukerewe kwa Wakara na Tabora kwa Wanyamwezi.
Tanzania nzima Mkoa ulio Msafi, Watu wake pia ni Wasafi hadi Akili zao pia ni Safi vile vile ni wa Mara ( Musoma ) pekee na ndiyo maana kila Mtanzania anakimbilia kwenda Kuishi huko. Kama hujafika Mkoa wa Mara basi umekosa Mambo mengi hivyo fanya hima ukautembelee na ukatembee pia.
Watani zangu mpo....!!!!!!!