Je, unadhani Mchakamchaka mzito wa Kuzunguka nchi nzima Milima na Mabonde kwa Mwakani ataweza Kweli au atasaidiwa na Chawa Majuha wake?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kila nikiangalia na kumpima kwa mambo kadhaa sioni kabisa kama hata ataweza Kuizunguka Mikoa Saba tu Nchini.
 
Nakuunga mkono, saba inaweza kufika ila Nchi nzima hataweza zaidi ya kupigwa jeki
 
Kwakweli mzee Rungwe amechoka sidhani Kama wilaya za mkoa wa Moro atazimaliza.
Akihonga ubwabwa hatakosa chawa wa kumfanyia hiyo kaazi.
 
We unamuonaje?kwanza wewe ni siasa za muongo wa kushoto hizi za muongo wa kulia achana nazo
 
Na vile apendi tabu atakuwa anaruka na ndege mikoa yenye Viwanja ,ila uko wilayan cjui butiama mtamsikia Kwenye matokeo kawa rais mliomchagua bila kuja kuwa omba kura😅

Ilaa CCM MUNGU anawaona
 
Atashinda kwa msaada wa nguvu toka kwenye chama, serikali na polisi
Na atashinda kwa kishindo, ingawa hatakuwa chaguo la wengi.
 
Umewaza kitu nilicho kiwaza muda muda kidogo, huwa namuona ni mzito mno, hana zile kashikashi !
Sijui hata saba afika , labda mjini mjini na kanda zeny wapiga kura wengi.
 
Hautaamini utakavyomuona akiwa anapiga push ups na sarakasi majukwaani kama jiwe kutuaminisha kuwa yuko fit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…