The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Rare earth elements (REEs) au "Madini adimu" ni muhimu kwa maendeleo ya teknolojia za kisasa na yametambuliwa kama rasilimali muhimu za madini na nchi nyingi zenye uchumi mkubwa duniani.
Afrika inamiliki utajiri mkubwa wa rasilimali za madini adimu (REE), ambazo nyingi zipo katika nchi 12.
Akiba na rasilimali za madini adimu (REO) barani Afrika zinafikia tani 195.6 × 10⁴ na tani 1014.4 × 10⁴. Kwa miaka ya hivi karibuni, juhudi za utafiti na uendelezaji zimepiga hatua kwa kasi.
Akiba za REO katika nchi tatu tu za Tanzania, Malawi na Afrika Kusini zinafikia tani 195.6 × 10⁴.
Katika nchi zile nyingine 12;
Angola, Kenya, Gabon, Afrika Kusini, Madagascar, Malawi, Namibia, Uganda, Zambia, Msumbiji na Burundi zina jumla ya machimbo 18 zinakadiriwa kufikia takriban tani 1014.4 × 10⁴ .
Tanzania tu pekee inashika nafasi ya kwanza Afrika ikiwa na akiba ya tani 88.7 × 10⁴ na rasilimali zilizoendelea (advanced resources) tani 333.9 × 10⁴ za REO.
😜👉 Trump atupe jicho lake Tz kuna kitu kitampendeza anachonyimwa na Chyna 😂😂