The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Two things can be true at the same time.Rare earth elements (REEs) au "Madini adimu" ni muhimu kwa maendeleo ya teknolojia za kisasa na yametambuliwa kama rasilimali muhimu za madini na nchi nyingi zenye uchumi mkubwa duniani.
Afrika inamiliki utajiri mkubwa wa rasilimali za madini adimu (REE), ambazo nyingi zipo katika nchi 12.
View attachment 3511624
Akiba na rasilimali za madini adimu (REO) barani Afrika zinafikia tani 195.6 Γ 10β΄ na tani 1014.4 Γ 10β΄. Kwa miaka ya hivi karibuni, juhudi za utafiti na uendelezaji zimepiga hatua kwa kasi.
Akiba za REO katika nchi tatu tu za Tanzania, Malawi na Afrika Kusini zinafikia tani 195.6 Γ 10β΄.
Katika nchi zile nyingine 12;
Angola, Kenya, Gabon, Afrika Kusini, Madagascar, Malawi, Namibia, Uganda, Zambia, Msumbiji na Burundi zina jumla ya machimbo 18 zinakadiriwa kufikia takriban tani 1014.4 Γ 10β΄ .
βTanzania tu pekee inashika nafasi ya kwanza Afrika ikiwa na akiba ya tani 88.7 Γ 10β΄ na rasilimali zilizoendelea (advanced resources) tani 333.9 Γ 10β΄ za REO.
View attachment 3511631
ππ Trump atupe jicho lake Tz kuna kitu kitampendeza anachonyimwa na Chyna ππ
Hilo ni moja kati ya jambo linaloleta migogoro. Nafikiri kuna mengi zaidi ya hilo nyuma ya pazia.Acha kujizima data... Tatizo ni mtawala aliyejipachika mwenyewe na kikundi chake ambacho hakina maslahi ya taifa
Ni kama Venezuela tu. Watu wamemchoka kabisa Maduro, lakini pia ikiwa nchi yenye mafuta mengi zaidi duniani, US anayatolea macho.Two things can be true at the same time.
1. Kwa sasa, tuna viongozi na Serikali ya hovyo sana
2. Mataifa ya kigeni yanatolea macho resources zetu
Huu ni uongo na propaganda za watawala.Je, unadhani Migogoro inayoendelea nchini kwa sasa inachochewa na uwepo wa Madini adimu (Rare earth minerals) nchini?
Wanje wanasingiziwa. Haya mapitio ni kwasababu ya ujinga wa CCM na serekali yake.Two things can be true at the same time.
1. Kwa sasa, tuna viongozi na Serikali ya hovyo sana
2. Mataifa ya kigeni yanatolea macho resources zetu
Hawasingiziwi, kila nchi inayoshirikiana na sisi ina maslahi yake binafsi ambayo kwake ni kipaumbele.Wanje wanasingiziwa. Haya mapitio ni kwasababu ya ujinga wa CCM na serekali yake.
Kabisa π―Ni kama Venezuela tu. Watu wamemchoka kabisa Maduro, lakini pia ikiwa nchi yenye mafuta mengi zaidi duniani, US anayatolea macho.
Cc: Mange Kimambo a.k.a center halfRare earth elements (REEs) au "Madini adimu" ni muhimu kwa maendeleo ya teknolojia za kisasa na yametambuliwa kama rasilimali muhimu za madini na nchi nyingi zenye uchumi mkubwa duniani.
Afrika inamiliki utajiri mkubwa wa rasilimali za madini adimu (REE), ambazo nyingi zipo katika nchi 12.
View attachment 3511624
Akiba na rasilimali za madini adimu (REO) barani Afrika zinafikia tani 195.6 Γ 10β΄ na tani 1014.4 Γ 10β΄. Kwa miaka ya hivi karibuni, juhudi za utafiti na uendelezaji zimepiga hatua kwa kasi.
Akiba za REO katika nchi tatu tu za Tanzania, Malawi na Afrika Kusini zinafikia tani 195.6 Γ 10β΄.
Katika nchi zile nyingine 12;
Angola, Kenya, Gabon, Afrika Kusini, Madagascar, Malawi, Namibia, Uganda, Zambia, Msumbiji na Burundi zina jumla ya machimbo 18 zinakadiriwa kufikia takriban tani 1014.4 Γ 10β΄ .
βTanzania tu pekee inashika nafasi ya kwanza Afrika ikiwa na akiba ya tani 88.7 Γ 10β΄ na rasilimali zilizoendelea (advanced resources) tani 333.9 Γ 10β΄ za REO.
View attachment 3511631
ππ Trump atupe jicho lake Tz kuna kitu kitampendeza anachonyimwa na Chyna ππ
Wana propaganda za kizamani. Kkwa huyu chaula nae alitekwa na kuwawa sababu ya hayo madini?unajua muache kuandika mada za kifala,
madini adimu ndio yanateka watu, mdio yanafanya ufisadi, ndio yananyima haki?
migogoro inasababishwa na huo ungese
Hakunaaaaaa angalia kwa aina ya viongozi wetu wenye utindio haiitaji manchi makubwa makubwa eti kutumia migogoro kupata rasilimali zetu ni UWONGO hawa viongozi wetuHilo ni moja kati ya jambo linaloleta migogoro. Nafikiri kuna mengi zaidi ya hilo nyuma ya pazia.
Jamani hebu tuwe serious hata kidogo.Hawasingiziwi, kila nchi inayoshirikiana na sisi ina maslahi yake binafsi ambayo kwake ni kipaumbele.
Japo hilo haliondoi ukweli kwamba, tuna serikali mbovu na tunahitaji mabadiliko hasa ya katiba.