Arya Stark
Senior Member
- Dec 1, 2025
- 147
- 253
Hebu rudia tena kusoma nilichoandika, mbona unasema kile kile ambacho na mimi nimesema.Jamani hebu tuwe serious hata kidogo.
Kwamba tunatekwa na kuuliwa na watu wa nje?
Kwamba tunabambikiana kesi sisi kwa sisi kwa shinikizo la watu wa nje?
Kwamba tunavuruga chaguzi zetu kwa kutengua na kuhuni kwa shinikizo la watu wa nje?
Haya yote tunayo pitia niya kwetu na tunaweza kuyamaliza wenyewe tukiacha ujinga. Msababishaji na mfadhili wa haya yote ni CCM na serekali yake na mabaya zaidi kiongozi wa juu wa chama na serikali ni dhaifu kichwani ndoa maana mapungufu yakawa wazi zaidi.
Naam, watu wa nje hawana mkono ktk yote tunayopitia. Serekali ya CCM iache kuulaghai umma bali ikubali kusafisha nyumba yake.Hebu rudia tena kusoma nilichoandika, mbona unasema kile kile ambacho na mimi nimesema.
Mawazo ya kitoto! Hakuna hata siku moja mtu ataondoa ulaji wake ili mwenzake afaidi. Nani atengeneze katiba mpya? Nani apitishe hiyo katiba mpya? Unajua katiba mpya ni kupunguza mamlaka ya rais? Katiba mpya ni kupunguza mapato makubwa ya wabunge na wanasiasa? Nani atakaa ajinyonge!Katiba Mpya, itaondoa uchafu na mawazo kama hayo forever
Hayo madini hata kama yapo kuna kakikundi fulani ka watu wachache watayauza kujinufaisha ukihoji "hamia Burundi"🙌🤣Rare earth elements (REEs) au "Madini adimu" ni muhimu kwa maendeleo ya teknolojia za kisasa na yametambuliwa kama rasilimali muhimu za madini na nchi nyingi zenye uchumi mkubwa duniani.
Afrika inamiliki utajiri mkubwa wa rasilimali za madini adimu (REE), ambazo nyingi zipo katika nchi 12.
View attachment 3511624
Akiba na rasilimali za madini adimu (REO) barani Afrika zinafikia tani 195.6 × 10⁴ na tani 1014.4 × 10⁴. Kwa miaka ya hivi karibuni, juhudi za utafiti na uendelezaji zimepiga hatua kwa kasi.
Akiba za REO katika nchi tatu tu za Tanzania, Malawi na Afrika Kusini zinafikia tani 195.6 × 10⁴.
Katika nchi zile nyingine 12;
Angola, Kenya, Gabon, Afrika Kusini, Madagascar, Malawi, Namibia, Uganda, Zambia, Msumbiji na Burundi zina jumla ya machimbo 18 zinakadiriwa kufikia takriban tani 1014.4 × 10⁴ .
Tanzania tu pekee inashika nafasi ya kwanza Afrika ikiwa na akiba ya tani 88.7 × 10⁴ na rasilimali zilizoendelea (advanced resources) tani 333.9 × 10⁴ za REO.
View attachment 3511631
😜👉 Trump atupe jicho lake Tz kuna kitu kitampendeza anachonyimwa na Chyna 😂😂
Hapa tatizo originally lilikuwa ni la unyama wa kuua, kuteka na kulawiti na likaongezewa na uharamia wa kwenye uchaguzi, mauaji ya halaiki na mashehe kutaka kukata watu mapanga.Rare earth elements (REEs) au "Madini adimu" ni muhimu kwa maendeleo ya teknolojia za kisasa na yametambuliwa kama rasilimali muhimu za madini na nchi nyingi zenye uchumi mkubwa duniani.
Afrika inamiliki utajiri mkubwa wa rasilimali za madini adimu (REE), ambazo nyingi zipo katika nchi 12.
View attachment 3511624
Akiba na rasilimali za madini adimu (REO) barani Afrika zinafikia tani 195.6 × 10⁴ na tani 1014.4 × 10⁴. Kwa miaka ya hivi karibuni, juhudi za utafiti na uendelezaji zimepiga hatua kwa kasi.
Akiba za REO katika nchi tatu tu za Tanzania, Malawi na Afrika Kusini zinafikia tani 195.6 × 10⁴.
Katika nchi zile nyingine 12;
Angola, Kenya, Gabon, Afrika Kusini, Madagascar, Malawi, Namibia, Uganda, Zambia, Msumbiji na Burundi zina jumla ya machimbo 18 zinakadiriwa kufikia takriban tani 1014.4 × 10⁴ .
Tanzania tu pekee inashika nafasi ya kwanza Afrika ikiwa na akiba ya tani 88.7 × 10⁴ na rasilimali zilizoendelea (advanced resources) tani 333.9 × 10⁴ za REO.
View attachment 3511631
😜👉 Trump atupe jicho lake Tz kuna kitu kitampendeza anachonyimwa na Chyna 😂😂
Inawezekana maana jana tuu rwanda na drc arekani kawaytanisha wakasaini masitisho yao ya kivita leo hii nasikia marekani imeingia mkataba wa kuchimba madini na serikali ya drcRare earth elements (REEs) au "Madini adimu" ni muhimu kwa maendeleo ya teknolojia za kisasa na yametambuliwa kama rasilimali muhimu za madini na nchi nyingi zenye uchumi mkubwa duniani.
Afrika inamiliki utajiri mkubwa wa rasilimali za madini adimu (REE), ambazo nyingi zipo katika nchi 12.
View attachment 3511624
Akiba na rasilimali za madini adimu (REO) barani Afrika zinafikia tani 195.6 × 10⁴ na tani 1014.4 × 10⁴. Kwa miaka ya hivi karibuni, juhudi za utafiti na uendelezaji zimepiga hatua kwa kasi.
Akiba za REO katika nchi tatu tu za Tanzania, Malawi na Afrika Kusini zinafikia tani 195.6 × 10⁴.
Katika nchi zile nyingine 12;
Angola, Kenya, Gabon, Afrika Kusini, Madagascar, Malawi, Namibia, Uganda, Zambia, Msumbiji na Burundi zina jumla ya machimbo 18 zinakadiriwa kufikia takriban tani 1014.4 × 10⁴ .
Tanzania tu pekee inashika nafasi ya kwanza Afrika ikiwa na akiba ya tani 88.7 × 10⁴ na rasilimali zilizoendelea (advanced resources) tani 333.9 × 10⁴ za REO.
View attachment 3511631
😜👉 Trump atupe jicho lake Tz kuna kitu kitampendeza anachonyimwa na Chyna 😂😂
Kwa hiyo hayo madini ndio yana sababisha watu watekwe wengine wauwawe na acha propaganda za *******Rare earth elements (REEs) au "Madini adimu" ni muhimu kwa maendeleo ya teknolojia za kisasa na yametambuliwa kama rasilimali muhimu za madini na nchi nyingi zenye uchumi mkubwa duniani.