Mbongo4life
Senior Member
- Nov 1, 2021
- 132
- 270
Kutokana na uhuni unaofanywa na mafundi ujenzi, wizi na ubora wa chini wa kazi serikali ianze kutoa leseni kwa mafundi ili tuweze kuwa hold accountable pale wanapohalibu kazi kwa makusudi au kuhujumu project ya mtu wawe wanapigwa faini na leseni kufungiwa pia kuwe kuna records zao ili watu wawezi kujua ni fundi wa aina gani namuajili.
Nazani hili litawafanya wawe responsible kidogo kwenye usimamizi na ubora wa kazi. Nini maoni yako au wewe unaona nini iwe solution.
Nazani hili litawafanya wawe responsible kidogo kwenye usimamizi na ubora wa kazi. Nini maoni yako au wewe unaona nini iwe solution.