Mbongo4life
Senior Member
- Nov 1, 2021
- 132
- 270
Mkuu kwani hakuna mafundi ujenzi waliosajiliwa? Wapo wengi tu ni jukumu lako kuangalia uhalali wa fundi unaechagua akujengee nyumba yako.Kutokana na uhuni unaofanywa na mafundi ujenzi, wizi na ubora wa chini wa kazi serikali ianze kutoa leseni kwa mafundi ili tuweze kuwa hold accountable pale wanapohalibu kazi kwa makusudi au kuhujumu project ya mtu wawe wanapigwa faini na leseni kufungiwa pia kuwe kuna records zao ili watu wawezi kujua ni fundi wa aina gani namuajili.
Nazani hili litawafanya wawe responsible kidogo kwenye usimamizi na ubora wa kazi. Nini maoni yako au wewe unaona nini iwe solution.
Mpaka mchanga unapimwa maabara, lakini pesa yao sasaKipato chako kinaruhusu? Waliosajiliwa wapo tele
Wanatafuta za kulipia leseni zao na kuendesha maisha yao hivyo lazima walipwe vizuriMpaka mchanga unapimwa maabara, lakini pesa yao sasa