Dondoo Mbalimbali Muhimu kwa Kuhusu Betri ya Laptop..!!
1. Je unajua Kuwa Unaponunua Betri Mpya Yafaa Uichaji kwa Dk. 20 kabla ya kuanza kujaribisha? Maana Betri nyingi zinakuwa Hazina Chaji. Hii husaidia katika utunzaji wa Betri ya Laptop yako.
2. Je unajua Kuwa kupata Joto sana kwa Laptop yako hupelekea kuleta uharibifu kwenye Betri ya Laptop? Hii husababisha kuvimba kwa “ electolyte” ambazo zipo kwenye Seli zinazounda Betri. Matokeo yake ni kutengeneza gesi inayopelekea mgandamizo ( pressure) kwenye Betri. Kitendo hicho pia hupelekea kuharibu Ubao mama ( motherboar)
3. Je unajua Kuwa kudondosha Betri ya Laptop yako pia kunaweza kusababisha ikapata hitilafu.? Lakini pia kupigwa na kitu kizito pia kunaweza kupelekea Betri kuharibika pia.
4. Je unajua Kuwa baadhi ya Laptop zinazotumia Betri za ndani, Betri yake inapoharibika, unaweza kuiwasha isiwake? Hivyo ukifingua Laptop yako na kutoa hiyo betri na kuiwasha inawaka vyema moja kwa moja bila kutumia Betri.
5. Je unajua pia unaweza kuwasha Laptop yako hata kama Betri ni Mbovu? Jibu ni Ndio, hii ni kwa Laptop nyingi sana, ambapo unatumia umeme moja kwa moja toka kwenye chanzo.
Japokuwa njia hii Sio nzuri na sikushauti kuendelea kutumia umeme mojakwa moja toka kwenye chanzo. Kwa sababu inaweza kupelekea kuharibika kwa sehemu zingine kwenye Laptop yako.
Je Unajua kwa kutambua Umuhimu wa Betri kwenye Laptop yako, BigiTech ina Ofa Punguzo la Bei kwa Watu 10, ambao Wamechoka kutumia Laptop zao Kama Pasi. Ofa hii itadumu mpaka Kesho Saa 12:00 jioni.
Tunapokea Oda Kuanzia Sasa.
Piga/ Tuma Sms/ Whatsapp
0628722382
Karibuni sana.