Je, Unafahamu kuhusu Allan Lucky?

Je, Unafahamu kuhusu Allan Lucky?

japo kwao ni ruvuma lakini allan ni fahari ya tanzania. laiti vijana wengi wa tz wangekuwa na ubunifu na iq kubwa kama yake soko la ajira la africa mashariki lingeomba poo kwa watz.
Kweli jamaa yuko vizuri sana Upstairs.
 
japo kwao ni ruvuma lakini allan ni fahari ya tanzania. laiti vijana wengi wa tz wangekuwa na ubunifu na iq kubwa kama yake soko la ajira la africa mashariki lingeomba poo kwa watz.
Sijakuelewa hili neno.... japo kwao ni Ruvuma..... KWAMBA RUVUMA HAKUNA CHA MAANA AU..??
 
Sijakuelewa hili neno.... japo kwao ni Ruvuma..... KWAMBA RUVUMA HAKUNA CHA MAANA AU..??
mkuu nilichokuwa namaanisha ni kuwa pamoja na kutambulishwa kuwa anatoka ruvuma huyu kijana ameibeba tz yote.mimi simwangalii kama mngoni ila kama mtanzania. na yeye ninaamini anauweka zaidi utanzania mbele ndiyo maana nadhani mke wake siyo wa ruvuma. tuache kuwekeana hisia hasi kwenye mambo mazuri kama alivyo allan.
 
Mchongo? Yule mbana pua? I pita kule. Unafanisha kifo na usingizi, ukiwa teenager utamkubali tu!!!
 
Huyo bwege alimtukana sana Lowasa kipindi cha kampeni kwenye fb yake , na yampate yoyote ya kumpata ! huwezi tukana wazee ukabaki salama
 
Back
Top Bottom