Je, unafahamu kwamba kuna Bunge la Bajeti linaendelea Dodoma?

Bunge lipi,? Hao wabunge walichaguliwa na "NANI"?!!!
 
Eti chief mrangi tusaidie 😁
Huyu jirani yangu huko hananasif/stereo mhuni tu huyu hana lolote
Nkkija huko garden nko jirani pia na mbunge wa kinondoni zamani Peter kabisa....
Kinondoni inamkosi wa kupata viongozi/wawakilishi wa ovyooo
Idd azan naye alikuwa wale wale
Kuna siku nlimchana tarimba kuwa ubunge sahvi hatoupata
Abaki na makamali yake
Kuhusu kilevi hiyo nipe home work mkuu ntakupa jibu 😄

Ova
 
Mtu mwenye akili timamu huweza kukaa na kusikiliza maigizo ya vilaza wa mwendazake
 
Ni bunge ama kikao cha wazi cha viongozi wa CCM.
 
nadhani si mihimu sana,

lle jambo ya maana zaidi kwa mwanainchi ni maendeleo yawafikie vya kutosha kule chini kabisa walipo. ukiangalia itakusaidia nini badala na wewe kufanya kazi zako kwa bidii? hamna maana yoyote....

Pale bungeni muwakilishi wako anatosha, mengine atakueleza huko jimboni kwenye mikutano ya hadhara
 
Yaani hili Bunge la ovyo kweli hata wananchi walisha lipuuza kabisa. Hauna mtu anaye juwa kuwa Kuna Bunge la budget. Kusikiliza Bunge la ccm tupu ni kujitakia matatizo ya moyo na akili.
 
Kazi ya mbunge siyo kutoa misaada au kugawa mikopo, ni kuisimamia na na kuishauri serikali kumkinga raia.
Serikali au watawala kwa asili ni wanyonyaji wanaokula jasho la mlalahoi kwa kuhalalisha kisheria.
Mbunge anawakilisha au kutetea wananchi dhidi ya watawala (serikali au wafalme ambao huvuna wasipopanda kwa asili yao).

Sasa, inapotokea mtetezi anaungana na mtesi, huyo ni mbaya zaidi.
Hii ni elimu ya kutumia akili ya kawaida (common sense) badala ya kukaririshwa.
Mwenye akili na aitumie.
 
Mimi nafuatilia kwa ukaribu sana. Ni haki yangu kujua mipango ya mtumizi ya kodi yangu kwa mwaka mwingine wa fedha.
 
Kuna kitu tulimkosea MUNGU kama Taifa....adhabu tunayopewa ni kutawaliwa na CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…