Je, unafahamu kwamba Mr Bean alisoma shule moja na aliyekuwa waziri mkuu wa uingereza, bwana Tony Blair?

Je, unafahamu kwamba Mr Bean alisoma shule moja na aliyekuwa waziri mkuu wa uingereza, bwana Tony Blair?

Nilisikiasikia muda kidogo kafariki, nimegugoole kafariki, unajibu usichokijua kisa, misifa au kuonekana umechanjia upopoma, punguza mihemko na shobo mshindo isiyo na tija.
Screenshot_20231223-100120.png
Acha basi kuzushia watu vifo, sidhani kuna umuhimu wa kupinga vitu bila evidence....

No evidence no right to speak....
 
Kuzushia kifo hao waliozusha huko marekani nilikuwa Mimi, ?
Mimi simlaumu huyo unayemjua wewe ila mimi nakulaumu wewe unayeshupaza shingo na kuendelea kuvumisha usichokuwa na uhakika nacho, hebu usiwe kama kinda la ndege linalongoja kulishwa na mama yake

Jiongeze na uwe unatafuta evidence za uhakika siyo habari za vichochoroni unaleta J.F....
 
Mimi simlaumu huyo unayemjua wewe ila mimi nakulaumu wewe unayeshupaza shingo na kuendelea kuvumisha usichokuwa na uhakika nacho, hebu usiwe kama kinda la ndege linalongoja kulishwa na *****.

Jiongeze na uwe unatafuta evidence za uhakika siyo habari za vichochoroni unaleta J.F....
Chenga huyo katoa boko halafu bado anatak ajifanye mwamba.
 
Back
Top Bottom