Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Hahahaaa wee jamaa bana.. hebu weka link tuone
 
Nikuongezee kidogo kua MTU mbaya hudhuru watu kwa neno lililotamkwa kwa mkwazo mfano MTU mbaya anasema Kasimbo asipate mtoto kabisa analirudia Mara mia 6 huku kifikra anajenga picha ya kuona huna mtoto na hupati mtoto hayo maneno husindikizwa na vitu vingine ila kikubwa ni matamko tuu na ili kuvunja agano ni lazma na we uwena nguvu ya kuvunja ile kauli nitaendelea baadae niishie hapo ila niwaambie uchawi si vitu ni maneno tu big up mtoa uzi
 
Nimekupata vyema sana ila nikuulize swali wazungu wanaendaga kwa waganga wa kienyeji?
Swala sio kwenda kwa mganga.. point je wanaamini uchawi au hawaamini?
 
Whatever you do, all in word, all in deed, do it in the name of the Lord Jesus, giving thanks to God the Father through him
 
Well said mkuu. Nature controls everything

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da'Vinci umenena kweli, binafsi nimekulia katika mazingira ambayo siwezi kuyaita ni ya kimaadili sana ila hali halisi ilininyima kujihusisha na tabia fulani fulani mfano uvutaji sigara na vingine vinavyofanana na hivyo!
  • Kimbembe ni ilipofika wakati wa kupenda ama niseme kutamani, kuna mtu mzima mmoja nilijaribu tu just in case na akanielewa,du tokea huyo nadhani nature alishika usukani kabisa maana asilimia 80 ya madanga yangu ni wadada walonizidi umri na wengine wamenipita hata miaka kumi na hilo halinipi shida, imefikia wakati ukiniona na mwanamke wa rika dogo ujue ni kama mnywaji wa pombe kali kaamua kunywa soda kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake ikiwa kupunguza hangover ama kuboost sukari.
  • Hapa siombi ushauri wala nini,memory hii hata nikisema niogee chumvi tani moja bila maji haiwezi kutoka so far imehifadhiwa kwenye satellite na nakala yake ipo kwenye cloud.
 
Yaaan hapo ulipohusisha mambo ya ku-clear cache ndo nmekuelewa vilivyo usingetumia mifano hyo nadhan usingeeleweka....big up let me clear caches from now

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Got you dude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…