hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Aisee... Well said mkuu
Nzuri Sana. Mimi nataka maisha yangu yajae furaha, huwa najipaka mafuta ya alizeti.[emoji258]na pia hua nakaa jirani na waridi ili ninukie [emoji257]
Watu wanaokuzunguka Wana mchango mkubwa Sana kwenye maisha yako, eidha ya mikosi au ya baraka.
Lakini katikati ya watu wenye mikosi, nuksi na mabalaa, unaweza kuamua usiwe sehemu ya maisha Yale.
Unaweza kutokea kwenye familia fukara Sana na ukaamua ule ufukara usikufuate wewe Wala wanao.
Jitenge na Kila laana ya hao watu.
Kuna watu wanajisifia magonjwa, huu ni ugonjwa wangu. Utaponaje iwapo umeshajimilikisha?
Mwanzo 12:1
BWANA akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonesha