Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Anayeweza kuatach pdf humu jf kwa simu anielekeze...kuna mtu kaniomba pdf ya mada hii
 
“Mfano uko mtaani kila tukio baya likitokea basi unahusishwa, unaweza kuta yani wewe kila mwanaume anayekufata ni ni wa aina fulani usiyoipenda, labda mwizi, muhuni, mweusi, mfupi, mjinga ”

Wanawake wabaya ndio wanachagua maumbile ya mtu lakini wale 10s na 9s wanaangalia vitu vya rohoni (kama upendo wa kweli nk)ndio maana watu kama nyie mnasikika mitaani “kampendea nini au hawaendani”..ungekuwa Mkristo ningekuambia kitu ila Catholic aarrghhh
 
Ongea kitu kiongozi waweza nibadirisha kitu
 
Hongera dogo, mada nzuri though umeharibu kwenye chumvi maana tayari huo ni ushirikina.
Nimeandika kwenye note book yangu baadhi ya points na zimekua prayer points zangu. Hua nafuta bad records zangu katika ulimwengu wa roho, kwa andiko lako hili nimejifunza zaidi na pia nitalifanyia kazi. Hapa kudelete ni kwa kutumia jina kuu lipitalo majina yote jina la Yesu Kristo, kwa damu yake anafuta yote. Pia kuusoma 2 Korintho 5:17, kuutafakari na kuukiri utakusaidia sana, asante sana kwa andiko
Umeongea vizuri ila umeharibu kuniuta Dog..Don't do that again
 
Hahaa dahh....by the way ..mimi nime muelewa tena kwa kina
Umetumia nguvu kubwa sana kuelezea kitu ambacho hakieleweki,sio kwamba hamna point, la hasha. Point zipo nyingi tuu lkn umeongelea vitu vingi kwa mpigo ambavyo havina relation.

Ungekuwa kwa daktari, angekwambia una circumferential thinking.

Unforgetable
 
Back
Top Bottom