Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Wewe nimekuelewa zaidi

Sijawahi kuamini katika bahati bali struggle is real [emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Thanx much, angalau nimeambulia na mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nimekuelewa zaidi

Sijawahi kuamini katika bahati bali struggle is real [emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kasahau kama kila kitu hua kinapimwa kwa Nia. Mfano Mungu anahukumu nia na matendo.. Ukiweka nia ya kuiba hapo tayari unakua umeshatenda dhambi. Ukienda kuiba unakua umeenda kutimiza nia yako. Kwa mantiki hiyo....
Beach boys wao wako pale kwa ajili ya kufanya kazi. Hawapo pale kwa nia kua yale maji yawasaidie kwa hili na hili.
Wanasema kila kitu ni manuizi. Hata maji ya kunywa ukisema nayatumia ili nipone tumbo waweza pona. Ukasema nayatumia ili nipone kichwa ukapona
 
Haaahaaahaa[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu, nimekuelewa vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…