Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

mwamba ww ni hatare 👍the real definition of the great thinker
 
Umeelezea jambo zuri sana na ni uhalisia kabisa katika maisha yetu ya kila siku. Ila hili swala linahitaji umakini na utulivu ili kupata tafakuri iliyosahii.
 
Umeelezea jambo zuri sana na ni uhalisia kabisa katika maisha yetu ya kila siku. Ila hili swala linahitaji umakini na utulivu ili kupata tafakuri iliyosahii.
❤❤❤
Written with tremendous pain
Ahsante sana mkuu
 
Wengi nimeona wanashindwa kuni tag sijui shida nini
 
Kwa kweli kuna jambo la kishirikina😀😀 kuna mtu anatembelea nyota yako, au mods wamevuruga mfumo wa jina lako😀😀 wivu tuuu
Hawataki niwe nakuona itakua..😁😁😁
Wananionea wivu kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…