Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

She's an old-school girl hadanganyiki. Acha tu nishalikoga nitapambana nae hivo hvo.. Bahati yake she worth my time..
Ha ha! Hujui tu.. ila ule mjina ule mwambie unachekesha sana ila yaonyesha anafujo sana si kwa mjina ule..🤣🤣
 
Uzi huu ndio nausoma leo na nimeuelewa, labda ni kwa sababu ya uelewa wangu mzuri kuhusu nadharia za computer na internet uliohusisha. Kilichobaki unclear ni maji ya chumvi kuondoa mikosi, naomba nieleweshe mechanism ipoje hapo?
Mate kiukweli sijui mechanism gani inatumika chumvi kuondoa mikosi ila nachofahamu kwenge Bible Mungu amekua akiwaelekeza kutumia chumvi kwa ajiki ya kujitakasa watu. Na sie wakatoliki tunatumia chumvi gafi katika maji ya baraka.
Lakini pia kuna njia nyingine tena ya kuondoa mikosi
 
Rafiki na ndugu/ wazazi wangu wanasema mimi ni nani?
Je mtu akija leo hii kwenu akauliza wazaizi wako nao wakasema ukweli kuhusu wewe bila kuficha kitu watasema wewe uko vipi, kuna watu wakiwa mbele za watu wanaficha tabia zao mbaya wakiwa mbali na kwao lakini wakiwa kwao wanatabia chafu. Mfano unaweza kuona msichana akiwa mbele za watu anakula chakula kidogo mno lakini akiwa kwao hadi anagombania chakula na wadogo zake.
 
Mungu anasema mimi ni nani?
Hivi ulishawahi jiuliza unahisi Mungu wako anafahamu wewe ni nani, je wewe ni mpole, mwenye dhambi, mchaji, mwenye hekima n.k. kumbuka kabla ya kutungwa kwenye mamba ya mama yako ulianza kutungwa kwenye fikra za Mungu kwahiyo anakufahamu zaidi unavyojifahamu. jibu unalo mwenyewe.

Kwanini nipo hapa duniani?
Ushajiuliza kwanini upo duniani nab ado upo hai na mzima wa afya wakati kila siku watu wanafariki na wengine ni wagonjwa hawajiwezi. Upo hapa duniani tumtumikie mungu na kumuabudu. Utafahamu kusudi lako (purpose) mungu kukuumba na kukuweka hapa duniani kwa kumcha na kumuomba Mungu. Zaburi 13.9, muhubiri 7:13
 
RAFIKI, EPUKA KUANZA MWAKA2021 HUKU UMEJAZA UCHAFU MOYONI MWAKO.

Pengine ktk mwaka huu unaoishia nilikukwaza, 2021usikubali kukwazika, nikikukwaza njoo uniambie kisha unishauri.

Wanasayansi wa ubongo wanasema itachukua miezi9 mtu kutambua kuwa ana tabia mbaya, mtu asiposhauriwa na kuoneshwa udhaifu wake, atajiona mara zote kuwa yuko sahihi.

Wanadamu hatukosi mapungufu, muda wowote ninaweza kumkwaza mtu pasipo mimi kujua

baadhi ya watu wanakwazwa na mambo madogo madogo!!🙆

Kwa mfano:
➖Mungu amekubariki kama anavyowabariki wengine, eti mtu anakwazika🙊

➖Mungu anaweza kuruhusu uione 2021, mtu akakwazika🙊

➖Familia yako haikuwa na amani sasa ni raha tupu, mtu anakwazika🙊

➖Umeajiriwa, mtu anakwazika🙊

➖Umejenga, mtu anakwazika🙊

➖Umepanua biashara, mtu anakwazika🙊

➖Una nidhamu kazini, mtu anakwazika🙊

➖Una afya njema,
mtu anakwazika🙊

➖Unawasaidia watu, mtu akakwazika🙊

➖Umeacha tabia mbaya zenye madhara, mtu anakwazika🙊

➖Hata vile Unavyoongea tu, mtu anakwazika🙊

➖Unasali na kumwomba Mungu, mtu anakwazika🙊

➖Umeoa/umeolewa, mtu anakwazika🙊

➖Wanao wamefaulu mtu anakwazika🙊

➖Umefungua biashara halali, mtu, anakwazika🙊

➖Una asili ya ukimya, huongei ovyo, mtu anakwazika🙊

Huna ubaguzi wa kijinsia unaongea na watu wa lika zote, mtu anakwazika🙊

➖Hupendi anasa, mtu anakwazika🙊

➖Unawapenda watu,
mtu anakwazika🙊

➖Una furaha japo kopato chako ni kidogo, mtu anakwazika🙊

Upo chuo unasoma, mtu anakwazika🙊

Ulikuwa unaumwa sasa umepona, mtu anakwazika🙊

Kuna mambo mengi yanayowafanya watu wakwazike, samehe bure ili aunze Upya.
 
Pamoja sana kamanda, umejitahidi kuandika sana... Mungu akubariki
 
The clock is running. Make the most of today. Time waits for no man. Yesterday is history. Tomorrow is a mystery. Today is a gift. That's why it is called the present
 
UMELEWEKA sana na umejitahidi sana kuji - organise katika kuwasilisha mada yako, ila kuna kitu ambacho na mimi naomba nikiongeze kama sitawachanganya watu. ni kwamba nini tofauti kati ya UBONGO na AKILI. Tofauti ni kwamba ubongo ndo sehemu ambapo akili inachakatwa (processed). akili imeungana na roho na roho ipo huko ambako wote hatujafika. na roho inawasiliana na NATURE.
 
Ni sehemu gani hiyo/ wapi huko mkuu nanilii ambapo roho ipo na sisi bado hatujafika? Nisaidie hapo.
 
Roho ni ominous (kama sijakosea ) yaani ndo hali inayoweza kuwapo kitu kila mahali. yaani haina mwili, hivyo unaweza kuwa kila sehemu, hivyo yenyewe ni rahisi kuwasiliana na nature na pia ubongo wako
Nimeanza kukuelewa, inamaana kuna uhusiano wowote wa issue hii na yale mambo ya meditation? Kwamba ukikaa kimya kwa muda mrefu unawasiliana na roho yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…