love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Ukimsoma Robert Kiyosaki ndio utaelewa ubepari ninaouonglea sio huu uliozoelekaLakini mkuu no matter how the outside world push you inabidi ubaki yule uliye ndani mwako.
Unaamini katika ujamaa!?Lakini mkuu no matter how the outside world push you inabidi ubaki yule uliye ndani mwako.
Hahaha!!! hamna kitu kama hicho!Ndio mkuu, Ujamaa ndio njia pekee Mungu alituumba tuiiishi
Mungu hakutuumba tujirimbikizie mali mkuu, Ukifanya hivo tu tayari lazima umuache. Ndio maana niliandika hapaHahaha!!! hamna kitu kama hicho!
Kama reference ni bible basi usome vizuri..
Pia tafakari kwa nini ujamaa ulikuwa unapinga sana mambo ya dini.
Nchi za kijamaa kipindi kile mf. Urusi ilikuwa ukiwa msomi na unafungamana na dini
unaonekana bado hujaiva.
Sawa kwako wewe ujamaa ni nini!?Mungu hakutuumba tujirimbikizie mali mkuu, Ukifanya hivo tu tayari lazima umuache. Ndio maana niliandika hapa
Sababu zinazofanya wanatajirisha wengine wao wanabakia masikini
Mates Inawezekana hua unajiuliza kwanini labda wachawi/waganga hua wanaweza kumpa utajiri mtu lakini wao wanabaki kwenye umaskini wa hali ya juu huku wateja wao wakineemeka na mali zao. Hawa watu hua ni smart sana kichwani na kiroho ,wanajua jinsi gani ulimwengu wa roho na huu tuishio...www.jamiiforums.com
Uko sahihi!!!Kuishi kwa pamoja kwa kusaidiana na kujali maumivu/furaha za wengine (Kutokua mbinafsi)
Mengi alikuwa bepari au mjamaa!?Kuishi kwa pamoja kwa kusaidiana na kujali maumivu/furaha za wengine (Kutokua mbinafsi)
Nadhani katika mada hii hatuwezi kufika muafaka maana inaonyesha mimi nawewe tuna Mtazamo tofauti wa ideaology, Lakini pia kuna utofauti wa kiimani kati yetu maana imani yangu yanitaka kujinyenyekeza na kutokujiweka mbele katika mambi bali kuwaweka wengineMengi alikuwa bepari au mjamaa!?
Vipi mfalme selemani, Ibrahim na Yule aliyeugua ukoma!?
Your right.. do u own iman!?Nadhani katika mada hii hatuwezi kufika muafaka maana inaonyesha mimi nawewe tuna Mtazamo tofauti wa ideaology, Lakini pia kuna utofauti wa kiimani kati yetu maana imani yangu yanitaka kujinyenyekeza na kutokujiweka mbele katika mambi bali kuwaweka wengine
Nadhani hatuna tofauti za kiimani bali tofauti za kimtazamo katika imani.Nadhani katika mada hii hatuwezi kufika muafaka maana inaonyesha mimi nawewe tuna Mtazamo tofauti wa ideaology, Lakini pia kuna utofauti wa kiimani kati yetu maana imani yangu yanitaka kujinyenyekeza na kutokujiweka mbele katika mambi bali kuwaweka wengine
Daaaaah sijaelewa nmesoma mara 4 lkn nmetoka kapa
Gazeti refu sana
Yangekuwa mapenzi ungeelewa tu
Mimi nimeulewa vizuri Sana Da'VinciIla mkuu fundi bishoo nahakika huu uzi ungekua MMU au Celebrity ungeusoma wote
Unamaanisha u-catholic!?Namaanisha imani ninayoiamini!
Ucatholic unaamin katika ujamaa!?Naam, Imani Catholic