Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Lakini mkuu no matter how the outside world push you inabidi ubaki yule uliye ndani mwako.
Ukimsoma Robert Kiyosaki ndio utaelewa ubepari ninaouonglea sio huu uliozoeleka
wa kuibia maskini na kumtajirisha tajiri isivyo halali.
 
Ndio mkuu, Ujamaa ndio njia pekee Mungu alituumba tuiiishi
Hahaha!!! hamna kitu kama hicho!
Kama reference ni bible basi usome vizuri..
Pia tafakari kwa nini ujamaa ulikuwa unapinga sana mambo ya dini.
Nchi za kijamaa kipindi kile mf. Urusi ilikuwa ukiwa msomi na unafungamana na dini
unaonekana bado hujaiva.
Au hujui hata ule mstari mwenye nacho ataongezewa!?
 
Hahaha!!! hamna kitu kama hicho!
Kama reference ni bible basi usome vizuri..
Pia tafakari kwa nini ujamaa ulikuwa unapinga sana mambo ya dini.
Nchi za kijamaa kipindi kile mf. Urusi ilikuwa ukiwa msomi na unafungamana na dini
unaonekana bado hujaiva.
Mungu hakutuumba tujirimbikizie mali mkuu, Ukifanya hivo tu tayari lazima umuache. Ndio maana niliandika hapa
 
Sawa kwako wewe ujamaa ni nini!?
nielezee tu kwa ufupi context ya ujamaa..
 
Mengi alikuwa bepari au mjamaa!?
Vipi mfalme selemani, Ibrahim na Yule aliyeugua ukoma!?
Nadhani katika mada hii hatuwezi kufika muafaka maana inaonyesha mimi nawewe tuna Mtazamo tofauti wa ideaology, Lakini pia kuna utofauti wa kiimani kati yetu maana imani yangu yanitaka kujinyenyekeza na kutokujiweka mbele katika mambi bali kuwaweka wengine
 
Your right.. do u own iman!?
Unaposema iman yako unamaanisha unaimiliki.
 
Nadhani katika mada hii hatuwezi kufika muafaka maana inaonyesha mimi nawewe tuna Mtazamo tofauti wa ideaology, Lakini pia kuna utofauti wa kiimani kati yetu maana imani yangu yanitaka kujinyenyekeza na kutokujiweka mbele katika mambi bali kuwaweka wengine
Nadhani hatuna tofauti za kiimani bali tofauti za kimtazamo katika imani.
 
Back
Top Bottom