Thanks for appreciation pal.WOW
You have made my day.
It is very rare to read a wonderful and fantastic comments like this in a JF.
Nice counselling
Love of God be with you mate.
Good Day.
Thank you Pal🙏Thanks for appreciation pal.
Heri na baraka ulizonitakia nami naomba zikurudie pia.
Tupo hapa kujuzana na kushauriana yale yanayotusibu😍✌️
Good day too🙏
Maisha lazima yaumize mkuu ili kuleta ukamilifu wa uanadamu. I mean mapungfu katika maisha ya mwanadamu ndio ukamilifu wake kama huna mapungufu basi kuna kitu hakipo sawa. So sababu ya matatizo hayo tiba zake ndio hizi chumvi and others rituals regarding your faith and beliefsChumvi tutaogea Sana!Lakini ukweli ni kuwa Maisha hayana utoshelevu na yanaumiza Sana aiseh!!
Kwanza kabisa I'm not a "Kaka" I'm just a random person pili Nashukuru kwa kupenda hichi nilichoshea nanyi humu jamvini.Kakaasante sana kwauzi huu. Naomba unisadie nataka kuwa mwanafunzi wa elimu hii ya kijitambua. Naomba unisadie nisome nini au nifanye nini. Napenda sana maarifa haya.
AmenMwenyezi Mungu awafungulie milango ya baraka na Kheri zake ziwe juu yenu siku zote za maisha yenu
It is the best indeed.. Asante Sana kwa ufunuo uliotoa..Moja ya post mbaya nilizowahi kusndika ni hiii....