Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

WOW
You have made my day.
It is very rare to read a wonderful and fantastic comments like this in a JF.
Nice counselling
Love of God be with you mate.
Good Day.
Thanks for appreciation pal.
Heri na baraka ulizonitakia nami naomba zikurudie pia.
Tupo hapa kujuzana na kushauriana yale yanayotusibu😍✌️

Good day too🙏
 
Chumvi tutaogea Sana!Lakini ukweli ni kuwa Maisha hayana utoshelevu na yanaumiza Sana aiseh!!
Maisha lazima yaumize mkuu ili kuleta ukamilifu wa uanadamu. I mean mapungfu katika maisha ya mwanadamu ndio ukamilifu wake kama huna mapungufu basi kuna kitu hakipo sawa. So sababu ya matatizo hayo tiba zake ndio hizi chumvi and others rituals regarding your faith and beliefs
 
Kaka asante sana kwa uzi huu. Naomba unisadie nataka kuwa mwanafunzi wa elimu hii ya kijitambua. Naomba unisadie nisome nini au nifanye nini. Napenda sana maarifa haya.
 
Kaka asante sana kwauzi huu. Naomba unisadie nataka kuwa mwanafunzi wa elimu hii ya kijitambua. Naomba unisadie nisome nini au nifanye nini. Napenda sana maarifa haya.
Kwanza kabisa I'm not a "Kaka" I'm just a random person pili Nashukuru kwa kupenda hichi nilichoshea nanyi humu jamvini.

Kuhusu jambo ulilouliza jitahidi uwe na Akili huru yenye kuchanganua mambo usifingwe na Dini/ imani yako wala Sayansi. Kisha soma mambo yanayohusu falsafa na Saikolojia utaanza kuona mabadirko ndani yako
 
Hope

Hold On Pain End.
[No Pain in Grave or in Sleep]
IMG-20220510-WA0002(1).jpg
 
With time, Everything gonna be Okay pals. Just have a little faith n keep breathing
 
Everything gonna end eventually, nothing last forever. Keep holding
 
No matter what is going on with you. Everything is gonna be Okay.
Have a little faith mate✌️
FB_IMG_16608175872546238.jpg
 
Back
Top Bottom