Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Positive mentality, watu wanaojisifia kwa kujimilikisha vitu negative huwa wananishangaza.
 
Uzi makini sanaa kwakweli sijajutia kupin kwa zaidi ya wiki nikisema nitasoma leo nimesoma na nimependa sana mifano uliyotumia kwa mtu anayetumia zaid internet na computer lazima itamsaidia kumemorize. Big up umeeleweka vyema.
 
Uzi makini sanaa kwakweli sijajutia kupin kwa zaidi ya wiki nikisema nitasoma leo nimesoma na nimependa sana mifano uliyotumia kwa mtu anayetumia zaid internet na computer lazima itamsaidia kumemorize. Big up umeeleweka vyema.
Vip ulipata chochote mkuu?? Kwenye mada hii
 
Shukrani sana Da'Vinci kwa kuanzisha mada hii muhimu na yenye kufikirisha! Umeigusa vizuri sana, hasa pale uliposema maisha ni safari yenye mabonde na mashimo, na jinsi ambavyo matukio fulani yanaweza kutufuata mara kwa mara mpaka tunajiuliza "kwanini mimi?". Ni kweli kabisa, wengi wetu tumepitia au tumeshuhudia hali kama hizi.

Nimevutiwa sana na jinsi ulivyotumia mifano ya "Caches" na "HTTP Cookies" kuelezea mambo haya. Ni njia nzuri sana ya kurahisisha kuelewa mambo magumu kwa kutumia lugha ambayo wengi wetu tunaifahamu kidogo kutokana na matumizi ya teknolojia. Inafanya mtu afikiri kwa undani zaidi jinsi mifumo fulani inavyoweza kujirudia katika maisha yetu, kama vile kompyuta inavyohifadhi data kwa matumizi ya baadaye.

Ninatamani sana kusikia zaidi kuhusu uhusiano huu wa kina kati ya mambo ya kiroho/kimaumbile na jinsi yanavyoweza "kuhifadhi" au "kuunda" mikosi au bahati katika maisha yetu. Na pia jinsi Google Hummingbird inavyoingia kwenye picha.

Asante sana kwa mwanzo huu mzuri, ninasubiri kwa hamu sehemu inayofuata! Endelea kutuelimisha.
 
Sjakuelew ap mwandishi
 
Huu uzi umenibariki sana na naahidi kuufanyia kazi na nitaleta mrejesho. Naanza ku clear cache kuanzia leo na sio kesho. Nimesoma mpaka comments zote. Umeni inspire sana huu uzi. Niombee niweze ku clear haya ma cache immediately. Big up dude
Ujatupa mrejesho mkuu
 
Nielekeze mkuu
Nmekua impressed sana na maandiko yako
 
hummingbird ni Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…