Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Umesema tumtegemee Mungu kutimiza matakwa Yetu chanya vp kwa wale wale wasio muamini Mungu hawatimizi matakwa yao?
Wasio nategemea Mungu hua wanatimiza matakwa yao/desires tena zaidi kuliko wale wanamtumainia Mungu. Kwasababu Mungu hakumuumba Mwanadamu kuja kujitimizia matakwa yake bali kuishi katika kusudi la kuumbwa ambalo ni Kuabudu then mengine atakupa yeye kadri ya jinsi aonavyo yafaa.

Kila chaguzi lina matokeo chanya au hasi..Ukichagua utimize mipango yako kwa kumtegemea Mungu obviously matokeo hua ni chanya japo itatumia muda mrefu kutimiza yale unayohitaji coz Mungu doesn't offer you something but anataka U-Earn kile ukipatacho. Lakini kama utachagua kutimiza matakwa yako bila kumtegemea Mungu sawa utatimiza ila matokeo yake yatakua mabaya sana kwako.. Si unajua Baada ya mteremko ni mlima.
Kuna mada nilizungumzia haya sana...

Nimekujibu???
 
Yes umenijibu but kuna swali Tena, umesema "mengine atakupa yeye kadri ya jinsi aonavyo yafaa" so hapa unamaanisha Mungu ndo anatuchagulia mambo yanayotokea kwenye maisha Yetu Yani tuombe tu mapenzi yake yatimizwe kwetu au tunapaswa kumuomba atutimizie tunachotaka
 
Yes umenijibu but kuna swali Tena
Thanks for noticing me
, umesema "mengine atakupa yeye kadri ya jinsi aonavyo yafaa" so hapa unamaanisha Mungu ndo anatuchagulia mambo yanayotokea kwenye maisha Yetu Yani tuombe tu mapenzi yake yatimizwe kwetu au tunapaswa kumuomba atutimizie tunachotaka
Mkuu swali lako ni pana kidogo hivo linaweza kuleta mkanganyiko.. Nitajitahidi unielewe.

Mkuu Moja kati ya utajiri mkubwa na wa thamani sana ambao binaadamu mimi na wewe tumepewa ni Choice au Free Will, yaani uhuru wa kuchagua kuishi vile ambavyo wewe mwanadamu unataka. Hiki kitu hakuna kiumbe mwingine kapewa tofauti na hata malaika hawana sometimes walitamani hii kitu yetu ndio maana baadhi wakaasi....
Mwanadamu ndio kiumbe pekee ambaye ana sifa zote mbili Imortal na Mortal, Anamwili ambao unakufa na roho ambayo haifi, vyote kwa pamoja vinaunda mwanadamu aliyeumbwa kwa jinsi ya ajabu..ndio maana malaika na viumbe wengine wote wanashindwa hadhi na Binaadamu mbele ya Mungu mwanadamu ni kiumbe first class maana tumepewa uwezo wa kufanya chaguzi/Free will juu ya mambo tunayotaka kufanya, ni mwandamu pekee ndio anaweza kua immortal au mortal.

Mkuu japo Mungu katupa free will juu ya kuishi tuwezavyo na kufanya chaguzi zetu ila kwa kuRefer bible kuna baadhi ya wanadamu walizaliwa fate/hatima yao ikiwa sealed mfano Samson,Judah Iscariot,John the Baptist,Mary mother of Mercy, Jesus nk nk...
Hivyo nachoweza kusema ni kwamba wote tuna chaguzi juu ya hatima ya maisha yetu. Lakini hkutimiza hizo hatima zetu tunategemea msaada wa Mungu kama njema na kama ni mbaya basi injinia shetani anaweza kutimiza hatima yako.

👉 Pin Point
✓Wapo waliozaliwa hatima yao ikiwa ishaamuliwa na Mungu kama nilio orodhesha hapo juu.
✓✓Tulio wengi tunazaliwa tukiwa na uamuzi wa kufanya yale tunayotamani kufanya/fate ila fate hiyo aayefanya ikamilike ni Muumba wako ndio atakusaidia kuzitengeneza..kama ni kutaka kua Evil person basi Hon. Devil atakusaidia kutengeneza hatima yako.

[emoji117] Pin Point

Umejibu vzuri mkuu [emoji120]hili lilikua linanichanganya
 
Asante kiongozi kwa mada nzuri,, Mimi nasumbuliwa sana na mikosi hata nilipata pesa zinapotea tu hovyohovyo tena ndani mfano miezi miwili nilipoteza 140,000 na pesa ndogondongo zinapotea tu, nifanyaje kuepukana na kifungo hiki

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana kiongozi kwa tatizo lako hilo ningependa kujua hua zinapotea katika mazingira gani. ??
 
Nilikuwa na pesa kiasi Cha laki9 nimemtumia kiasi cha 750,000 na kiasi kilichobaki nikawa nimeweka ndani ya koti la suti kuja kuiangalia ikapotea, na nilikuwepo home mwenyewe, familia ilikuwa imesafiri, yaani kupoteza 50,000 au 30,000 imeshakuwa kawaida ndani kwangu

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa na pesa kiasi Cha laki9 nimemtumia kiasi cha 750,000 na kiasi kilichobaki nikawa nimeweka ndani ya koti la suti kuja kuiangalia ikapotea, na nilikuwepo home mwenyewe, familia ilikuwa imesafiri, yaani kupoteza 50,000 au 30,000 imeshakuwa kawaida ndani kwangu

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuu kwa hilo.
Kabla hatujaenda futher step je kuna njia zozote ushawahi kuzitumia kudhibiti hali hiyo.??? Je unaoishi nao hawana mienendo mibaya?? Hujawahi hata kuwahisi.
Sorry if it'll annoy you...But this will give me leads to your matter
 
Kuna ndugu yangu mmoja ndio anafanya mambo ya kishirikina na sio mimi yaani ndugu zangu wote wanahangaika tu kimaisha, sijaenda kwa wataalamu wa kienyeji lakini amenirudisha nyuma kimaisha

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ndugu yangu mmoja ndio anafanya mambo ya kishirikina na sio mimi yaani ndugu zangu wote wanahangaika tu kimaisha, sijaenda kwa wataalamu wa kienyeji lakini amenirudisha nyuma kimaisha

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
That's it..
Usiende kwa mganga mkuu. Since moto hauzimwi kwa moto..Nataka huo moto tuuzime kwa maji Evil can't outexist the good
 
Wow umeongea vzuri Sana [emoji122]
Sauti ndogo ile ndio hutuelezea kusudi la maisha yetu hapa duniani, bahati mbaya kwa ukiburi na kujifanya tuko wabize sana maishani hua hatuna muda wa Kusikiliza sauti ndogo iliyo nadani yetu ili tujue kusudi letu…. Kua makini Yule mwovu hua anatuma Virus kushambulia server zako rohoni ili kuinterupt request zote zinazotakiwa kua processed mwisho unajikuta unamsikiliza yeye. Mwovu kautawala mwili anatumia mwili wako kuivamila roho yako. Ndio maana unakuta sauti ndogo ile inataka ufanye kitu Fulani chema, kumbuka yeneyewe haiwezi tenda inategemea mwili, bahati mbaya roho inakuta Shetani kashafunga Firewall na Virus kibao kwenye mwili, mwili unakataa request za kutekeleza yale mema roho inayotaka unakua unaprocess request za kwenda kufanya yale mwili upendayo kama starehe. Cha kufanya ni kuinstall Antivirus za maombi na matumaini kwa muumba wako
 
Back
Top Bottom