Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,700
- 9,570
Gen Z wanakwenda kuishangaza na kuistaajabisha serikali iliyoua na kufanya uzalimu kwa namna ambayo haijawahi kutokea.
1. Shule ambazo wanafunzi wake wataingia na kufanya mitihani ya taifa kama inavyopaswa ni asilimia 29
2. Asilimia 30 ya wanafunzi wataingia kwenye vyumba vya mitihani isipokuwa hawata attempt kufanya au kuandika chochote kwenye mitihani yao, watalala usingizi wakisubiri muda umalizike waondoke kwa pamoja.
3. Asilimia 31 ya wanafunzi watafanya mitihani ila mwanzo mwisho wataandika maneno kama HAKI, KATIBA MPYA, TANGANYIKA YETU, UTEKAJI SASA BASI, FREE LISSU, TUPEWE MIILI YA WALIOTEKWA WAKIWA HAI AU WAFU n.k
4. Wanafunzi asilimia 10 ni wenye uthubutu ambao hawatafanya wala kwenda kabisa shule wakati wa mitihani ya taifa.
Hesabu hazidanganyi. Asilimia 29, 10, 30, 31 sio coincidence wala probability bali ni reflection ya mauaji yaliyotokea October 29 na kuendelea.
Kutokana na yatakayo tokea mitihani yote itarudiwa 2027.
2027 utakuwa ni mwaka wa mitihani kwa Taifa, wakati huo wanafunzi wa darasa la saba pamoja na la sita ambao wote wanatarajiwa kufanya mitihani yao ya taifa kwa wakati mmoja wataungana na wenzao watakaorudia mitihani na waliokuwepo.