JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Iwapo Sheria ya Ulinzi wa Data itakuwepo Tanzania, Watanzania watafahamu taarifa binafsi kama jina, namba ya simu au mahali anapoishi anazozitoa anapoingia kwenye ofisi fulani, zinakuwa kwenye mikono ya nani na zinatunzwa vipi
Hii itasaidia kutoa muongozo kwa mtu kujua anatakiwa kwenda kwa nani ikiwa taarifa hizo zitavujishwa
Upvote
0