Hilo ni swali kwa jinsia zote yaani Me na Ke ,
Uhalisia ulivo kwanza kwenye mahusiano asikudanganye mtu kua uko peke yako , mwanamke au mwanamme akikueleza uko peke yako huo unakua uongo wa wazi,
Hii haijalishi umeolewa, umeona, haujaolewa, Una mchumba , hauna mchumba,
Asili ya binadamu ni kupata ladha mpya kila wakati na hii ni kwa binadamu wote,
98% watu hucheat kwa akili Sana sema inakua Siri yao tena anaweza kumwita mtu Dada au Kaka lakini ni kiini macho tu watu wanapeana wanachotaka,
Kwahiyo kwa uhakika uliyenaye kwenye mahusiano muda huu akipata mtu ambae ana sifa anazotaka tofauti na zako ataliwa au atakula mzigo bila wewe kukua,
Usijekuambiwa uko peke yako ukavimba kichwa au isije mtu akasema Mimi mambo ya wanawake au mambo ya wanaume sitaki nawe ukakubali
Hakuna mtu mwenye hisia atakaa siku 120 , bila kufanya au kufanywa haipo hiyo na haitokuja kutokea,
Hivo ukiona umecheatiwa uufahamu ndio uhalisia wala sio bahati mbaya,
Na mtu akicheat akanogewa au perfection ya aliyempata ikawa kubwa kuliko yako hapo ndio utaambiwa it's over,
Utaanza kuona visa wewe jiongeze songa mbele endelea na maisha yako usichukue muda mrefu kubembeleza mapenzi ,
Ukiona kila siku unabembeleza mapenzi fahamu hayo mapenzi yalikwisha muda mrefu hapo mnayasindikiza yatokomee kabisa kwa migogoro ya hapa na vile,
Usijaribu kumdhuru mwenzako kwenye Hali hiyo chukulia kawaida tu songa mbele, na kule anakoenda atakuta tena madhaifu ya hapa na pale atasonga mbele pia ,
Huo ndio ubinadamu mengine mtadanganyana tu.