Je, unafanya kazi inayoendana na masomo yako?

Je, unafanya kazi inayoendana na masomo yako?

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Wanajamvi tumeshuhudia wasomi wengi wanaomaliza vyuo tofauti wakianza harakati za kutafuta ajira huku wengine wakijiajiri wenyewe kutokana na sababu tofauti ikiwemo kutaka manufaa makubwa ama kwasababu ya ukosefu wa ajira.

Je ukiwa kama msomi, unafanya kazi zinazoendana na masomo yako?
Kama sivyo, basi tueleze kwanini hufanyi kazi zinazoendana na masomo yako.
 
Back
Top Bottom