Je, unafanyaje ukiwa umepigiwa full light barabarani?

Je, unafanyaje ukiwa umepigiwa full light barabarani?

Themann

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2022
Posts
3,842
Reaction score
16,058
Una uzoefu wa kuendesha gari highway usiku?
Embu nipe experience yako pale unapokuwa na gari ndogo kisha ukapishana na Lori ambalo limewasha full light.

Kile kipande cha sekunde chache mnapopishana huwa unaona au unaenda kwa uwezo wa Mungu tu?

Kuna ule mchezo road unapishana na mtu unapigia pass apunguze mwanga wa lakini ha-respond Hadi mnapishana.

Hapunguzi nawapongeza madereva malori huwa ni wastaarabu Sana.. upande wangu huwa nafanya vitu hivi nikiona mwenzangu hapunguzi mwanga

1.Napunguza mwendo
2. Sitazami lori, naangalia mstari wa pembeni nje ya barabara, naweka tairi za kushoto kwenye line.
3. Kama mstari wa nje haupo, natumia wa katikati, nahakikisha sitembei

Mwendo nakuwa mdogo mdogo sizidi 50kmph

.
images%20(4).jpg

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
View attachment 2420096
View attachment 2420097
 
Una uzoefu wa kuendesha gari highway usiku?
Embu nipe experience yako pale unapokuwa na gari ndogo kisha ukapishana na Lori ambalo limewasha full light.

Kile kipande cha sekunde chache mnapopishana huwa unaona au unaenda kwa uwezo wa Mungu tu?

Kuna ule mchezo road unapishana na mtu unapigia pass apunguze mwanga wa lakini ha-respond Hadi mnapishana.
Hapunguzi nawapongeza madereva malori huwa ni wastaarabu Sana.. upande wangu huwa nafata chaki kama
Naona mwenzangu hataki kupunguza taa zake.View attachment 2420048

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Mimi hii kwangu ni changamoto kubwa mnooo mpaka huwa nawaza hasa pale ninapoendesha kwenye highway ya njia moja. Kwa sababu huwa nabaki na giza kwa sekunde chache. ila taadhari ambayo huwa nachukuwa ni kupunguaza mwendo mapema alafu naenda na chaki.

Ukweli nachukia kuendesha gari usiku hasa huku unguja ndo hawajui kama kuna kubadilisha taa. Alafu wengi wanafunga bulb hizi za mwanga mkali njia ndogo basi balaa tu.
 
Mimi hii kwangu ni changamoto kubwa mnooo mpaka huwa nawaza hasa pale ninapoendesha kwenye highway ya njia moja. Kwa sababu huwa nabaki na giza kwa sekunde chache. ila taadhari ambayo huwa nachukuwa ni kupunguaza mwendo mapema alafu naenda na chaki. Ukweli nachukia kuendesha gari usiku hasa huku unguja ndo hawajui kama kuna kubadilisha taa. Alafu wengi wanafunga bulb hizi za mwanga mkali njia ndogo basi balaa tu.
Hii ni hatari Sana kwa wenye matatizo ya macho Yani ukikutana na scani mwanga wote anamwagia hapo kwenye kioo Chako ndio maana Kuna umuhim serikali yetu kuweka taa za pembeni Kone barabara zetu za mikoani Kuna wengine huwa kama chaki Hamna wanaenda kwa kipimo na kupunguza mwendo laa svyo ni majanga.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Mtoa hoja umeeleza hoja muhimu mno, night driving ina faida nyingi ila tuna madereva hasa wa magari madogo ambao hawajui au kwa makusudi wanatumia full lights muda wote, mtoa mada kumbuka safety comes first hasa kwako, epuka by all cost ile kitu inaitwa road rage, kwanza nawe wacha full light yako then Zima, no response, punguza mwendo na keep left ili mpishane,then endelea na safari yako, hasira, matusi, hayasaidii kabisa
 
Wenye magari makubwa hasa kwa bara wengi ni wastaarabu mno na wanabadilisha taa
Hata magari makubwa mkuu ni wachache hasa madereva wa malori ya mizigo wana adabu kidogo usiombe ukutane na hawa wa malori ya mchanga ni shida.

Gari imewaka taa kama kituo cha kupozea umeme cha tanesco mbele huoni. Mimi huwa nikiflash taa zangu naona hapunguzi nawasha full na mimi huku nikijihami kwa kupunguza speed.

N:B sipendi kuendesha gari usiku sababu madereva wengi hawafuati sheria usku na walevi ndio mida yao hyo.
 
Kuna mwingine una mpigia pass apunguze anagoma imagine unafanyaje mkuu

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Wewe ndio upunguze taa na punguza mwendo - usishindane na mjinga. Utaumia. Huwezi kujua kama mwenzio amevuta lile jani pendwa, amekula mirungi, amelewa , amebwia unga n.k. Epusha shari mkuu.
 
Mtoa hoja umeeleza hoja muhimu mno, night driving ina faida nyingi ila tuna madereva hasa wa magari madogo ambao hawajui au kwa makusudi wanatumia full lights muda wote, mtoa mada kumbuka safety comes first hasa kwako, epuka by all cost ile kitu inaitwa road rage, kwanza nawe wacha full light yako then Zima, no response, punguza mwendo na keep left ili mpishane,then endelea na safari yako, hasira, matusi, hayasaidii kabisa
Hili swala Lina affect wengi Sana humu road wengine Wana matatizo ya macho na baadhi ya ajali zinasababishwa na hii kitu mkuuu so nivizuri kutoa elimu watu ambao huwa hawapunguzagi taa ni Hawa wenzetu wakina su,stk,STL mara nyingi nimekutana nao hawapunguzagi kabisa.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
1.Napunguza mwendo
2. sitazami lori, naangalia mstari wa pembeni nje ya barabara, naweka tairi za kushoto kwenye line.
3. Kama mstari wa nje haupo, natumia wa katikati, nahakikisha sitembei mwendo nakuwa mdogo mdogo sizidi 50kmph
Haya ndio majibu sahihi, Jana nimefika Moro kulikua na mvua nikasubiri kidogo then nikaendelea na safari maana nilikua nawaza, mvua ikiwa inanyesha halafu wakikupiga taa ndio unapotea, niliendesha mdogo mdogo tu kuanzia saa 22:30 Hadi 01:23 nikawa Dodoma. Usikimbie usiku kama huna taa za uhakika
 
Kuna zile night driving glasses, zinasaidia sana ukipigwa full. Kingine, ukipigwa full na wewe mpige full ngoma iwe draw, cha msingi ni kupunguza speed na kutoangalia taa zake mpaka akupite.
Hizo glasses nazitafuta kinoma ukutane na Lori Lina sport light za juu zile [emoji119][emoji119]

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Haya ndio majibu sahihi, Jana nimefika Moro kulikua na mvua nikasubiri kidogo then nikaendelea na safari maana nilikua nawaza, mvua ikiwa inanyesha halafu wakikupiga taa ndio unapotea, niliendesha mdogo mdogo tu kuanzia saa 22:30 Hadi 01:23 nikawa Dodoma. Usikimbie usiku kama huna taa za uhakika
Muhimu Sana kucheki taa zako kama unajua unasafari ya mbali na muda mrefu laa sivyo utaonewa Sana unapita sehemu Hamna chaki wewe ndo unakuwa kibonde.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom