Je, unafanyaje ukiwa umepigiwa full light barabarani?

Pole Sana mkubwa,Mi najipanga nichukue Mandolin kisha niitengeneze ngao nzito ya chuma ili niwe nakula Taa zao.
 
Rahisi sana, wewe unachokifanya unaangalia ule mstari mweupe unaowatenganisha na uhakikishe unakuongoza.....kitu kingine ukipigwa Full light hakikisha haungalii mwanga wa taa wa hizo gari.
 
Kimbembe ukutane na tractor au pawatila haina reflector halafu mwanga wako hafifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…