Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamfahamu Martin Fayulu ?Mwaka 1997 Aliyekuwa raisi wa Kongo mobutu aliwahi kusema kuwa ili Kongo ipate amani inahitaji kuongozwa na raisi mzungu
Je unafikiri moise katumbi atakuwa chaguo bora kwa wakongo mwaka 2023? View attachment 2394185
Unatuchanganya; unachanganya storySimfahamu vizuri huyu mwamba, ila ninachofahamu ni kwamba Congo inahitaji Mwanaume wa Chuma. Mtu alieweka roho rehani kupambana na fitna za majirani wenye tamaa, pamoja na puppets wa mabeberu.
Tofauti na hapo, Congo itaendelea kua shamba la bibi.
Hakuna kinachochanganya hapo, ni uelewa wako tu ndio tatizo!Unatuchanganya; unachanganya story
Alizaliwa 28.12.1964 kashobwe DRC karibu na ziwa Mweru mpakani na Zambia, mama yake ni raia wa DRC baba yake ana asili ya uguriki na israel, ni mfanyabiashara na mwanasiasa, aliwahi kuwa govana wa jimbo la Katanga, pia ni mmiliki wa timu ya mpira wa miguu ya tp MazembeMwenye kumfahamu Moise