Je, unafikiria nini baada ya LaLiga kuipongeza Yanga baada kuchukua ubingwa

Ni utopolo ambao mafanikio ya mpira hudhani yanakuja kwa fitina,matokeo yake ni kutia aibu wakitoka nje ya mipaka ya tanzania.
Yanga haikuwa na wachezaji wake tegemeo ndo maana ilipoteza mechi na River United. subiri uone safari hii!

The fall of Simba has many colours! Mwaka huu maji mtasema mma!
 
Yanga haikuwa na wachezaji wake tegemeo ndo maana ilipoteza mechi na River United. subiri uone safari hii!

The fall of Simba has many colours! Mwaka huu maji mtasema mma!
Kwanza naomba Tukutane na al.ahyl tumtwange nyingi
 
Kwa sababu wamepongezwa na laliga nahisi feitoto na kibwana shomari watasajiliwa pale santiago bernabeu.

Utopolo ni litimu likubwa.
 
Kwa sababu wamepongezwa na laliga nahisi feitoto na kibwana shomari watasajiliwa pale santiago bernabeu.

Utopolo ni litimu likubwa.
Kabisa mkuu....ila ngoja tutukue....kombe la club bingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…