Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Yanga haikuwa na wachezaji wake tegemeo ndo maana ilipoteza mechi na River United. subiri uone safari hii!Ni utopolo ambao mafanikio ya mpira hudhani yanakuja kwa fitina,matokeo yake ni kutia aibu wakitoka nje ya mipaka ya tanzania.
The fall of Simba has many colours! Mwaka huu maji mtasema mma!