Je unahisi mwanaJF gani yukoje (iwe kisura, umbo, tabia, au personality) kutokana na jinsi unavomuona humu jukwaani?

Je unahisi mwanaJF gani yukoje (iwe kisura, umbo, tabia, au personality) kutokana na jinsi unavomuona humu jukwaani?

stritglow

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
622
Reaction score
1,750
Humu tuna-interact na watu wa aina mbalimbali, na kulingana na jinsi watu wanavowasilisha mada, ku-comment au avatar walizoziweka, watu hujenga akilini mwao taswira ya jinsi huyo mtu alivyo.

So unahisi mwanaJF gani, yukoje iwe kisura, umbo, tabia au personality kutokana na jinsi unavomuona hapa jukwaani.
 
Utamu wa fake ID unaweza hata ukabishana na mjukuu wako kuhusu mahaba huku mmekaa meza moja nyumbani!!!....

Au unaweza ukamtongoza binti yako mpendwa huku mkiwa mmekaa kochi moja nyumbani!!!.....

JF ni kama mtaa wa kiza kinene wenye wakazi wenye mihangaiko mingi
 
Back
Top Bottom