stritglow
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 622
- 1,750
Humu tuna-interact na watu wa aina mbalimbali, na kulingana na jinsi watu wanavowasilisha mada, ku-comment au avatar walizoziweka, watu hujenga akilini mwao taswira ya jinsi huyo mtu alivyo.
So unahisi mwanaJF gani, yukoje iwe kisura, umbo, tabia au personality kutokana na jinsi unavomuona hapa jukwaani.
So unahisi mwanaJF gani, yukoje iwe kisura, umbo, tabia au personality kutokana na jinsi unavomuona hapa jukwaani.