Je unahisi mwanaJF gani yukoje (iwe kisura, umbo, tabia, au personality) kutokana na jinsi unavomuona humu jukwaani?

Mi nawachukuliaga wadada wengi humu kama wameshika simu, wanajikuna nywele kwa kujipigapiga, kanga kifuani huku vyombo vichafu kwenye sinki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…