Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Hahahah uwiiiWengi wanajua humu kila mtu ni Handsome/Beautiful. Kuna sehemu ninaona wanapanga tukutane.
Ila nawashauri siku ya kuonana tuwe na Miwani za 3D.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah uwiiiWengi wanajua humu kila mtu ni Handsome/Beautiful. Kuna sehemu ninaona wanapanga tukutane.
Ila nawashauri siku ya kuonana tuwe na Miwani za 3D.
cheupe wastanNimeshakuja
Wewe najua mrefucheupe wastan
kibonge kiasi
mfupi 4ft
vidompoz kwa mbali
chura si haba
hebu niishie hapa nisiweke foleni huko pm
hahaha vice versa is trueWewe najua mrefu
Mwembamba
Mweusi
Ila umenyimwa sura
Nitumie basi kapicha[emoji847][emoji847][emoji847]hahaha vice versa is true
BET LOST 😛😛
una sh ngapi??Nitumie basi kapicha[emoji847][emoji847][emoji847]
😂😂😂😂😂Wewe najua mrefu
Mwembamba
Mweusi
Ila umenyimwa sura
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utamu wa fake ID unaweza hata ukabishana na mjukuu wako kuhusu mahaba huku mmekaa meza moja nyumbani!!!....
Au unaweza ukamtongoza binti yako mpendwa huku mkiwa mmekaa kochi moja nyumbani!!!.....
JF ni kama mtaa wa kiza kinene wenye wakazi wenye mihangaiko mingi
Sawa ngoja nikuchore kabisa halafu nikutupie hapaNimeshakuja
Ahante sana. Naamini unamaaanisha ntapata Mkulima mwenzangu huku Kibaigwa?jiamini
utapata tu, kwan hujapata had sasa?Ahante sana. Naamini unamaaanisha ntapata Mkulima mwenzangu huku Kibaigwa?
Bado. Nasubiria niuze Alizeti kwanzautapata tu, kwan hujapata had sasa?
cheupe wastan
kibonge kiasi
mfupi 4ft
vidompoz kwa mbali
chura si haba
hebu niishie hapa nisiweke foleni huko pm
Moment haizidigi hapaDah...[emoji13]
haya bwanaBado. Nasubiria niuze Alizeti kwanza
yeye si namba 8