Je unahitaji kiwanja mahali yeyote hapa Dar es salaam au Pwani?

Je unahitaji kiwanja mahali yeyote hapa Dar es salaam au Pwani?

Notifier

Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
91
Reaction score
12
Kama unahitaji kiwanja mahali yeyote hapa Dar na Pwani? Tafadhaliwasiliana nami kwa Pm.
Unaweza taja specification zako pamoja na budget yako pia ili uweze kufanyiwa kazi yako kwa uraisi zaidi.
Hata kama una hela ndogo, usisite pengine unawezapata kwa bei hiyo uliyonayo!
 
Duh,kweli wewe notifier,yaani umeunda NGO ya madalali kwamba kote unacheza.
PM baadae

Hembu nipe:
a)Tabata Kimanga/Kisukulu/Segerea
 
Duh,kweli wewe notifier,yaani umeunda NGO ya madalali kwamba kote unacheza.
PM baadae

Hembu nipe:
a)Tabata Kimanga/Kisukulu/Segerea

Mbali na maeneo uliyotaja, vipi kuhusu size ya kiwanja unachohitaji, budget yako, sifa nyinginezo?
 
Nahitaji nje ya mji isizidi km 6,nina 2m,ukubwa utakuwaje?
Isizidi km 6 kutokea wapi, nje ya mji?
kama hizo sehemu unazijua zilizopo nje mji unaweza sema ili kurahisisha chaguo lako!
Na pia ungetaja pia na ukubwa, kwa mfano maeneo kama mkuranga,mwasonga unaweza kupata kwa bei hiyo kiwanja chenye ukubwa wa hekari!
 
Nahitaji ekari 4 yaani 140m kwa 140m maeneo ya Mapinga,gombs au kisarawe I bajeti yangu ni 10m.
 
Back
Top Bottom