Duh,kweli wewe notifier,yaani umeunda NGO ya madalali kwamba kote unacheza.
PM baadae
Hembu nipe:
a)Tabata Kimanga/Kisukulu/Segerea
okey Mkuu, kazi in progress.Ukubwa kuanzia 25 x 25
Sifa ya ziada gari ifike,umeme uwe karibu
Wakuu nawakaribisha wote.....just dare!
Okey Boss, will notify in no time.vp maeneo ya bunju/mbweni,20*30 ata 15*30..kiwe kimepimwa
Isizidi km 6 kutokea wapi, nje ya mji?Nahitaji nje ya mji isizidi km 6,nina 2m,ukubwa utakuwaje?