Kamaka JF-Expert Member Joined Jun 7, 2010 Posts 563 Reaction score 33 Jan 24, 2011 #1 Shamba lenye ekari 45 linauzwa moshi-tpc mkoani kilimanjaro limepimwa na lipo katika hali nzuri. Bei ni maelewano(kulingana na mahitaji yako) contacts:0713-932616 0754-828280/
Shamba lenye ekari 45 linauzwa moshi-tpc mkoani kilimanjaro limepimwa na lipo katika hali nzuri. Bei ni maelewano(kulingana na mahitaji yako) contacts:0713-932616 0754-828280/
Dingswayo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 4,019 Reaction score 2,925 Jan 24, 2011 #2 Lipo TPC upande gani? New Land, Kwa Fonga?
M mbeshere Member Joined Nov 15, 2010 Posts 64 Reaction score 8 Jan 24, 2011 #3 kamaka sema bei ya ekari moja kwanza
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,658 Reaction score 6,700 Jan 24, 2011 #4 hii mambo ya "bei maelewano" naichukia sana......KAMA UMEAMUA KUUZA WEKA BEI WATU TUJIPANGE
Kamaka JF-Expert Member Joined Jun 7, 2010 Posts 563 Reaction score 33 Jan 24, 2011 Thread starter #5 Tpc maeneo ya kahe
Kamaka JF-Expert Member Joined Jun 7, 2010 Posts 563 Reaction score 33 Jan 24, 2011 Thread starter #6 Wasiliana hizo contact braza hatutashindwana