Je unahitaji kufuga Kuku wa Mayai?

Je unahitaji kufuga Kuku wa Mayai?

Roby G

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2014
Posts
591
Reaction score
604
Kwa yeyote anaehitaji kufuga kuku wa mayai ntamfundisha bure, mimi nafanya kazi ya kufuga kuku ninaumia sana ninapomuona mtu anaajira yake pesa anazo hana ujajanja wa kuingiza kipato kwa ufugaji.

Unachotakiwa kufanya njoo utembelee mabanda yetu ujionee mwenyewe nipo Kibaha Kongowe we ni pm ntakuelekeza kama utaitaji.
 
Nitakuja mkuu me napenda sana watu kama wewe barikiwa sana
 
sawa mkuu, nitakucheck, namba ya simu labda ukinipa itakuwa safi zaidi, kongowe kwetu. watu kama nyinyi ndio wakombozi wa vijana tunaotaka kurudi vijijini kujenga uchumi. asante kwa ofa yako.
 
Safi sana ningekuwa maeneo karibu ningefika, ila ukiweza waweza tuelimisha hapa jinsi ya kufanya ufugaji huo, ukianzia jinsi ya kujenga mabanda.
 
Kwa yeyote anaeitaji kufuga kuku wa mayai ntamfundisha bure, mimi nafanya kazi ya kufuga kuku ninaumia sana ninapo ona mtu anaajira yake pesa anazo hana ujajanja wa kuingiza kipato kwa ufugaji.

Unachotakiwa kufanya njoo utembelee mabanda yetu ujionee mwenyewe nipo Kibaha Kongowe we ni pm ntakuelekeza kama utaitaji.
naomba nambayako mkuu..
 
Back
Top Bottom