Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Maana hii A14 haina kipengele chochote ni very clean as new.izo hybrid zipo chache original ila nyingi zinachakachuliwa tajiri. Karibu
128GB , Triple Camera, 14 Android OS, Exynos.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana hii A14 haina kipengele chochote ni very clean as new.izo hybrid zipo chache original ila nyingi zinachakachuliwa tajiri. Karibu
Biashara dukani tajiri, karibu.Duh, huwa napendelea Note 10+ dual SIM maana nilikuwa nayo sema ikapasuka kioo nikaipotezea mazima. Pia note 9 ninayo nayo kioo kimepasuka nimeipotezea.
Boss nikikupa Galaxy A14 na 180,000 cash huwezi kunibariki hiyo Note 10+ ambayo ni single SIM?
Duka lenu linaitwaje? Au lipo kwenye jengo gani maarufu?Biashara dukani tajiri, karibu.
Duka namba 1. Dubai Plaza (karibu na kituo cha taxi Msimbazi) 1st floorDuka lenu linaitwaje? Au lipo kwenye jengo gani maarufu?
Picha mkuuNjoo lipia AQUOS ZERO 6 mkuu.
Simu zimenyooka sana izi
Imesimamia ngapi mjomba
280,000/=Imesimamia ngapi mjomba
ZipoMkuu redmi note 13 pro bei gani? Naihitaji sana
Sorry mkuu nahitaji Redmi note 13 proZipo
Redmi 13c 128gb @300,000/=
Redmi 13R 128gb @320,000/=
Karibu
Hizi bado zipo?