Je, Unahitaji Laptop ya Bei Ndogo Alafu Refurbished?

Je, Unahitaji Laptop ya Bei Ndogo Alafu Refurbished?

Nilikujibu hv kwa sababu dodoma mizigo akuna wa bei hizo ko kwa Dar es salam ndio upo kalb kama utojal unaweza fika dukani kwetu Makumbusho Stend tuka linaitwa cs Computer

Hili jibu linatia mashaka sana.
 
Kwa picha zaidi za laptop na maelezo nichek Whatsapp boss 0752663 329

Screenshot_20220405-175127~2.png
 
Litapigwa jitu.broo Dunia ya sasa utawapata Wachache sana,una screenshot kwenypage za watu then unaleta humu.

Kwanza Nashangaa kwann wenye mamlaka wamekuruhusu kuendelea kulaghai humu nda
Ok
Litapigwa jitu.broo Dunia ya sasa utawapata Wachache sana,una screenshot kwenypage za watu then unaleta humu.

Kwanza Nashangaa kwann wenye mamlaka wamekuruhusu kuendelea kulaghai humu ndani.
Ok Asante kaka mie sio tapel ila kama ndivyo unavyo amini ni sawa lakn sijawai husika na utapel wa aina yoyote nipo Jf toka 2019 kama kuna mtu yoyote nilie wai mtapel anaweza kuja toa ripot hapa.

Na kama utaitaji mrejesho wa watu walio hapa Jf ambao waliwai fika dukani kwetu na kununua laptop nambie nikupe

Ila kama uhamin cwez kukulazmisha uamin maana now kumekuwa na wimbi kubwa sana la matepeli
 
Ok

Ok Asante kaka mie sio tapel ila kama ndivyo unavyo amini ni sawa lakn sijawai husikia na utapel wa aina yoyote nipo Jf tola 2019 kama kuna mtu yoyote nilie wai mtapel anaweza kuja toa ripot hapa
Sawa boss nisamehe bure.
Tufanye wewe sio tapeli.ebu oiga picha full ya hilo duka lako na namba yako hiyo ya simu apo tuone.

Yani hiyo deopezone yako au CS computer page ionekane na namba za simu.

Nisamehe lkn kama nimekukwaza boss
 
Sawa boss nisamehe bure.
Tufanye wewe sio tapeli.ebu oiga picha full ya hilo duka lako na namba yako hiyo ya simu apo tuone.

Yani hiyo deopezone yako au CS computer page ionekane na namba za simu.

Nisamehe lkn kama nimekukwaza boss
Sawa boss nakutumia maana bila uhaminifu hakuna biashara yyte inaweza tendeka
 
Sawa boss nisamehe bure.
Tufanye wewe sio tapeli.ebu oiga picha full ya hilo duka lako na namba yako hiyo ya simu apo tuone.

Yani hiyo deopezone yako au CS computer page ionekane na namba za simu.

Nisamehe lkn kama nimekukwaza boss
piga hiO namba apo kweny hio screenshot nime screenshot account ya Whatsapp ya boss wangu

Piga sim mda huu alaf muulize mtu mwenye Code 0001 au Ramso je anausika na uuzaji wa Laptop hapo dukani kwako Makumbusho duka lina itwa Cs Computer

mwenye Namba hii 075266 3329 boss akisema anifahamu au akiwa na shaka yoyote nakuruhusu chukua hatua zozote na kunishitaki kuwa mie nitapel


Sikutaka nifikie huku kote rakin nalinda sana heshima yangu maana leo usipo niamin uwezi nunua huduma yoyote toka kwangu kwa kuhusi mie ni tapel

Screenshot_20220406-183821~3.png
 
Sawa boss nisamehe bure.
Tufanye wewe sio tapeli.ebu oiga picha full ya hilo duka lako na namba yako hiyo ya simu apo tuone.

Yani hiyo deopezone yako au CS computer page ionekane na namba za simu.

Nisamehe lkn kama nimekukwaza boss
Makumbusho bus stand kalibu na star times Branch office Duka letu utalikuta


ko kama huna iman na mimi sina kingine cha kukuamisha kwamba mie sio tapel zaidi ya kufika dukani


Na pia unapaswa kutambua mteja anapo penda bidhaa huwa anafika dukani mwenyew kuichukua sasa sijua hapo unatatapeliwa vipi na anae taka free delivery kwa dar es salaam anafikishiwa mzigo wake popote alipo cjui tumeelewana.

Screenshot_20220406-202023~2.png
 
Mwaka 2019 kabla sijaajiliwa na Company ya kuuza LAPTOP...

Siku moja nilihitaji kununua LAPTOP kwa ajili ya matumizi yangu ya Freelancer niliingia Mtandaoni na kutafuta LAPTOP kutokana na Budget yangu nilipata...


Ilikuwa ni aina ya LogiQ kwa kuwa sikuwa na uelewa mzuri kuhusu LAPTOP nilijikuta najilaumu sana na kujuta baada ya kununua hiyo LAPTOP

Maana:

•Ilikuwa na RAM & HDD ndogo
•Haikuwa na uwezo kwenye Internet

•Ili kuwa na Core ndogo na nitoleo la zamani
•Kibaya zaidi haikuwa inanifaa kwa matumizi ya kazi yangu n.k😢


Haya yote yalisababishwa na kutokuwa na uelewa wa kuchagua LAPTOP nzuri kwa ajili ya matumizi yangu

Kwaiyo baada ya kuajiliwa nilijifunza vitu vya msingi unavyo paswa kuzingatia wakaiti wa kununua Computer au LAPTOP itakayo kufaa kwa matumizi yako na Budget yako...

🛑Wasiliana nasi leo kwa ushauli na kwa maitaji ya LAPTOP nzuri...

Company name:👇🏼

•Lenovo
•Hitachi
•Hp
•Dell
•Toshiba
•Asus
•Acer

••Conditions: Refurbished

💻 Uwezo Core i3 - i7
Ram 4 na kuendelea
Rom 320Gb - 1Tb

🔋Zinakaa na chaji kuanzia masaa 4 na kuendelea.

Bei zinaanzia 399,000/= na kuendelea



✅Ambapo utapata Warranty ya mwaka 1 na
Free support and Basic Software Installation pia Free Delivery kwa DAR ES SALAAM


Call & Whatsapp
☎️0752 663 329

Tupo DAR ES SALAAM

View attachment 2169766

View attachment 2169768

View attachment 2169770

View attachment 2169771

View attachment 2169772

View attachment 2169773
mkuu naomba bei na specifications ya desktop au pc utakayocheza game zote bila kustack
 
Back
Top Bottom