Hi. Nina-design nembo(logos). Pia naweza kuboresha nembo unayomilki. Ila sijhusishi na design zinazohusu kampuni au bidhaa zinazohusika na ulevi, kamari na vitu kama hivyo. Hii ni katokana na imani yangu. 0652 999009. Bongologo@yahoo.com. Thanks & May ALLAH bless you dear.
Hi Bujibuji. Nitumie details za kuihusu hiyo serikali. Mnakaa kijijini au mjini? Rangi gani ungezipendelea ktk logo yk, jina utakalotumia ktk logo; slogan (Kama ipo). Ukishatuma details tutaongea kuhusu gharama. Bila shaka hatutashindwana