Je, unahitaji logo/nembo designer?

Je, unahitaji logo/nembo designer?

Bongologo

Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
20
Reaction score
1
Hi. Nina-design nembo(logos). Pia naweza kuboresha nembo unayomilki. Ila sijhusishi na design zinazohusu kampuni au bidhaa zinazohusika na ulevi, kamari na vitu kama hivyo. Hii ni katokana na imani yangu. 0652 999009. Bongologo@yahoo.com. Thanks & May ALLAH bless you dear.
 
Bongolono,
Naomba unitafute nikupe kazi, 0768 192524/ 0767 130 709 kama hutanipata hewani kwa uwe mvumilivu, hii ni kutokana na majukumu ya kazi.

Stay blessed.
 
Hi Bujibuji. Nitumie details za kuihusu hiyo serikali. Mnakaa kijijini au mjini? Rangi gani ungezipendelea ktk logo yk, jina utakalotumia ktk logo; slogan (Kama ipo). Ukishatuma details tutaongea kuhusu gharama. Bila shaka hatutashindwana
 
Allien. Nitumie email address na no. Yako ya simu tafadhali. Nakutakia siku njema
 
Back
Top Bottom