Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager)
Nitakuwa naweka maudhui ya picha na video pia nitakuwa najibu maswali ya wateja, n.k.
Nina ujuzi wa IT (Information Technology), graphics design na masoko ya mtandaoni
Mawasiliano: 0756704145
Napatikana Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi