Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Habari za humu ndani?
Je unahitaji nyumba ya kupanga mjini Arusha?
Ninapangisha nyumba mbili
Moja ni dabo malipo kwa mwezi ni shilingi elf themanini kwa miezi sita.
Ya pili ni self contena
Bei ni laki mbili unusu kwa mwezi ilipwe kwa miezi sita mfululizo.
Nyumba iko sakina white rose.
Nb.Self contena itakua wazi tarehe moja mwezi wa saba 2014.
Kwa Maelezo Zaidi piga namba hizi
picha zinakuja
Pamoja Daima.

Last edited by a moderator: