Je unahitaji nyumba ya Kupanga Mjini Arusha? Karibu

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,668
Habari za humu ndani?

Je unahitaji nyumba ya kupanga mjini Arusha?

Ninapangisha nyumba mbili
Moja ni dabo malipo kwa mwezi ni shilingi elf themanini kwa miezi sita.

Ya pili ni self contena
Bei ni laki mbili unusu kwa mwezi ilipwe kwa miezi sita mfululizo.

Nyumba iko sakina white rose.

Nb.Self contena itakua wazi tarehe moja mwezi wa saba 2014.

Kwa Maelezo Zaidi piga namba hizi
picha zinakuja
Pamoja Daima.
 
Last edited by a moderator:
Hao ndio Mulugo generation.Unapangisha nyumba "self contena"
 
Nyumba ndio hii
 

Attachments

  • 1401353398142.jpg
    29.8 KB · Views: 103
Kwa njeee
 

Attachments

  • 1401353595196.jpg
    32.7 KB · Views: 87
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…