Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

Programu za PC

New Member
Joined
Aug 28, 2022
Posts
3
Reaction score
142
Habari,

Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako.

Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu.

Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum kuongeza utendaji kazo wako katika kazi au biashara zako.

====== Solution =====

1. Nitakupa options za software bora kufit hitaji lako.

2. Ni install hiyo software kwenye kifaa chako kama ni kompyuta au simu na kukufundisha jinsi ya kuitumia.

3. Nitakupa support pale utakapo hitaji msaada kuhusu software hiyo.

=> Nitumie ujumbe PM.

* Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 5 katika industry ya computer software na smartphone apps katika kufanya kazi flani (productivity software / app).

kama una swali, karibu utajibiwa hapa hapa.
 
Jipatie AutoCAD 2022 Mechanical App + Activated kwa 15,000 Tshs.

Location: Dar es salaam, Mbezi Louis.

Tuma ujumbe PM.

=== END AutoCAD App ===

- Napiga Windows 10 Pro 2021 = 10,000 Tshs.

- Napiga Windows 7 = 10,000 Tshs.

- Napiga Linux Ubuntu = 10,000 Tshs.

- Microsoft Office 2007, 2013 ,2016 ,2019 ... version zote zipo activated @10,000 Tshs.

-> Kama unahitaji software yoyote au huduma za IT, tuma ujumbe PM
Kwanini usiweke mawasiliano ya simu kwa urahisi zaidi?wengine wavivu kuingia mitandaoni.
 
Ninayo boss ERP9, wapi upo boss? au kama unaweza fika mbezi mwisho stand ya dalaldala na pc, kazi inafanyika
weka namba tuwasiliane ndugu, zingatia iwe version 5 release 4, 5 au 6 na iwe craked
 
Publisher haimo?
Sisi wa mkoani tunapataje huduma?
Mimi nilisha ifanyia installation 2019 key imesha expire napataje huduma husika.
 
Habari,

Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako.

Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu.

Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum kuongeza utendaji kazo wako katika kazi au biashara zako.

====== Solution =====

1. Nitakupa options za software bora kufit hitaji lako.

2. Ni install hiyo software kwenye kifaa chako kama ni kompyuta au simu na kukufundisha jinsi ya kuitumia.

3. Nitakupa support pale utakapo hitaji msaada kuhusu software hiyo.

=> Nitumie ujumbe PM.

* Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 5 katika industry ya computer software na smartphone apps katika kufanya kazi flani (productivity software / app).
Ninauhitaji wa softwares
Both OS
Application softwares

Mimi ni mwanafunzi Wa Diploma ya ICT ninauhitaji wa kujifunza mambo.

0744210614
 
Back
Top Bottom