educator2025
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 395
- 455
Mnakaribishwa kama unahitaji ushauri kuhusu Elimu (kujiunga na Chuo hasa vyuo vya Ujerumani, South Africa & Botswana pamoja na POSTGRADUATE SCHOLARSHIPS kwa vyuo vya nje) kujiajiri au jinsi ya kupata kazi (ikiwemo uandishi bora wa CV, jinsi ya kujiandaa kabla na ukiwa kwenye Interview. Do's & Dont's/Interview Tips). Wasiliana nami kwa PM. Na nitafurahi kukuelekeza. Asante.